Gender Lecture 1 Flashcards
Uana
Gender
Jinsia
Sex
Ukimwi
AIDS
Majukumu ya kiuana
Gender Roles
Majukumu ya jinsia
Sex Roles
Hadhi
Status
Uzinifu
Promiscuity
Ubalehe
Maturity
Haki za Kiuana
Gender Equity
Usawa wa Kiuana
Gender equality
Ulingano wa kiuana
Gender parity
Upambanuzi wa Kiuana
Gender Discrimination
Kijito
Tributary
Tendo Sawasishi
Affirmative Action
Kushilikisha uana katika mipangalio yote
Gender Mainstreaming
Mwelekeo wa Chanya Kuhusu Uana
Gender Sensitivity/ Responsiveness
Vurugu wa Kiuana
Gender Based Violence
Dhurumu ya kiuana
Sexual Harassment
Upofu wa Uana
Gender Blindness
Uainisho wa Uana
Transgenderism
Uume/ Ujike
Manhood/Womanhood
Ubabadume/Ubibijike
Patriarchy/Matriarchy
Sera ya Kiuana
Gender Policy
Dhanagandi
Gender Stereotype
Usenge
Homosexuality