Familia yangu Flashcards
Grandpa
Babu
Grandma
Bibi
Father
Baba
Aunt (upande wa baba)
Shangazi
paternal older uncle
Baba mkubwa
paternal younger uncle
Baba mdogo
Brother/Cousin from Baba (upande wa baba)
Kaka yangu
Sister/Cousin from Baba (upande wa baba)
Dada yangu
Younger sibling/cousin from uncle (upande wa baba)
Mdogo wangu
male cousin
Binamu
Nephew, Niece
Mpwa
The name of my father is ….
Baba yangu anaitwa ……
What is the name of your father?
Baba yako anaitwa nani?
The name of …. father is —
Baba yake …. anaitwa ….
elderly
mzee
older
mkubwa
old age
uzee
baby
mtoto
younger
mziwanda
single, unmarried
kapera
Mother
Mama
Older maternal auntie
Mama mkubwa
Younger maternal auntie
Mama mdogo
Husband
mme
Family name
Jina la familia
Relatives
ndugu, jamaa
parents
wazazi
to marry m->f
kuoa
to marry f->m
kuolewa
to adopt a child
kulea mtoto asiyezaliwa na wanaomlea
female cousin
binamu wa kike
half/step-sibling
kaka wa kufikia
divorced
mtalaka
woman, wife
mke
girl, daughter
binti
daughter
mtoto wa kike
brother
kaka
boy
mvulana
childhood
utoto
first,given name
jina la kwanza
fiancé, fiancee
mchumba
female twins
pacha wa kike
sister
dada
to marry
kuona
old, elderly
-zee
son
mtoto wa kiume
young, young person
kijana
man
mtu
twin
mpacha
wife
mke
girl
msichana
husband
mume
boy
mvulana