Diseases Flashcards
fever
homa
diarrea
kipindupindu/kusendesha/kuhara
cough
kikohozi
I am sick
nina ugonjwa
I am a patient
mimi ni mgonjwa
to vomit
kutapika
do you feel like vomitting?
unasikia kutapika?
heart disease
afkani
ulcers
donda
glaucoma
glakoma
yellow fever
homa ya manjano
typhoid
homa ya matumbo
cancer
kansa/saratani
syphilis
kaswende/sekeneke
insanity
kichaa/wazimu
wound
kidonda
epilepsy
kifafa
tuberculosis
kifuakikuu
cholera
kipindupindu
dysentery
tumbo la kuhara
gonorrhea
kisonono
diabetes
kisukari
cold
mafua
sleeping sickness
malale
allergies
mzio
measles
surua/ukambi
chemotherapy
tibakemikali
hysteria
umanyeto
aids
ukimwi
tetanus
pepopunda
chicken pox
tekekuwanga
paralysis
ugonjwa wa kupooza
appendicitis
kidoletumbo
infectious disease
ugonjwa wa kuambukiza
constipation
funga choo
fainting
zimla
heartburn
kiungulia
hernia
ngiri
worms
chango
dandruff
mba
tumor
tezi
bloating
riahi
skin discolouration
mbulanga
hypertension
shinikizodamu
stomach ulcers
vidonda tumbo
she is ill
ameugua
to suffer
kuuga
she is sick
anaumwa
to be treated
kutibiwa
the disease
maradhi
dizziness
kisunzi
what are you suffering from?
unaumwa na nini?
have you drunk medicine?
umekunywa dawa?
can you drink water?
unaweza kunywa maji?
you need to be put on a drip
unahitaji kuwekwa dripu
I need to inject you
ninahitaji kukupiga sindano
I need to take your blood
ninahitaji kukutoa damu
I need to go pee
ninahitaji kwenda kukojoa
I need your urine sample
ninahitaji mkojo wako
please lay down
tafadhali lala chini
lay on the bed
lala katika kitanda
put your faeces in there then take it to the lab
weka mavi hapa halafu peleka katika maabara
have you become slim?
umekonda?
are you stressed?
una dhiki?
disabled people
walemavu
catheter
mpira wa kukojoa
it is painful
ni uchungu