Directions 1 Flashcards
0
Q
Can I walk there
A
Naweza kuenda huko na miguu
1
Q
I’m looking for
A
Natafuta
2
Q
Can you show me on the map?
A
Unaweza kunionyesha kwa ramani?
3
Q
Is there a bus station nearby?
A
Kuna kituo cha basi karibu?
4
Q
Is there a train station nearby?
A
Kuna kituo cha gari la moshi karibu?
5
Q
Turn to the left
A
Enda kushoto
6
Q
Turn to the right
A
Enda kulia
7
Q
On the right hand side
A
Kwa upande wa kulia
8
Q
On the left hand side
A
Kwa upande wa kushoto
9
Q
At the end of the street
A
Kwa mwisho wa njia
10
Q
In front of
A
Mbele
11
Q
Behind
A
Nyuma