Colors & Adjectives Flashcards
1
Q
color black white brown gray
A
rangi nyeusi nyeupe kahawia kijivu
2
Q
red orange yellow green blue purple pink
A
nyekundu machungwa manjano kijani bluu zambarau waridi
3
Q
big small tall short long fat skinny/thin
A
kubwa kidogo mrefu mfupi ndefu mnene mwembamba
4
Q
what color do you like?
how tall is he?
how short is she?
A
unapenda rangi gani?
ana urefu gani?
ana mfupi gani?