Class 1 Flashcards
Day, time, and question words
1
Q
Days of the week (2)
A
Siku sa weki
Siku sa juma
2
Q
Sunday
A
Jumapili
3
Q
Monday
A
Jumatatu
4
Q
Tuesday
A
Jumanne
5
Q
Wednesday
A
Jumatano
6
Q
Thursday
A
Alhamisi
7
Q
Friday
A
Ijumaa
8
Q
Saturday
A
Jumamosi
9
Q
today
A
leo
10
Q
yesterday
A
jana
11
Q
tomorrow
A
kesho
12
Q
the day before yesterday
A
juzi
13
Q
the day before the day before yesterday
A
juzi juzi
14
Q
the day after tomorrow
A
kesho kutwa
15
Q
What day is it today?
A
Leo nisiku gani?
16
Q
It is Monday today.
A
Leo ni jumatatu
17
Q
What day was it yesterday?
A
Jana ilikua siku gani?
18
Q
Yesterday, it was Monday.
A
Jana ilikua jumatatu.
19
Q
What day will it be tomorrow?
A
Kesha itakuua siku gani?
20
Q
It will be Monday tomorrow.
A
Kesha itakuua jumatato.
21
Q
to do
A
kufanya
22
Q
What did you do yesterday?
A
Ulifanya nini jana?
23
Q
I did
A
nilifanya
24
Q
you did (singular)
A
ulifanya
25
he/she did
alifanya
26
we did
tulifanya
27
you did (plural)
mlifanya
28
they did
walifanya
29
I have done
mmefanya
30
you have done
umefanya
31
what
nini
32
What have you done today?
Umefanya nini leo?
33
this week
wiki hii
34
last week
wiki iliyopita
35
coming week
wiki ijayo
36
month
mwezi
37
months
miezi
38
last month
mwezi uliopita
39
coming month
mwezi ujayo
40
year
maka
41
years
miaka
42
Next month I will travel to Tanzania.
mwezi ujayo nitazafiri tanzania.
43
I will travel to London next week.
nitazafiri London wiki ijayo.
44
When?
lini (at the end of the sentence)
45
to eat
kula
46
When do you study Swahili?
Utasoma kiswahili lini?
47
my child
mtoto wangu
48
my friend
rafiki yangu
49
my dog
mbwa wangu
50
my cat
paka wangu
51
my sister
dada yangu
52
my brother
kaka yangu
53
How many?
'ngapi
54
How many people?
Watu wangapi?
55
People
watu
56
How many lions?
Simba wangapi?
57
How many sisters do you have?
una dada wangapi?
58
How many dogs do you have?
Una mbwa wangapi?
59
How old are you?
Una miaka mingapi?
60
The child is called Alex.
Mtoto anaitwa Alex.
61
Who?
nani (at the end and beginning of the sentence)
62
Whats the childs name?
Mtoto anaitwa nani?
63
Who wants a book?
Nani anataka kitabu?
64
to want
kutaka
65
mine
-angu
66
yours
-ako
67
his/her
-ake
68
ours
-etu
69
yours (plural)
-eynu
70
theirs
-ao