Civilities (Uungwana) Flashcards
Yes
ndiyo
No
hapana
Ok
sawa
No problem
hakuna matata/ hakuna shida
Completely
kabisa
What’s up?
Vipi?
I would like to…
Ningependa ku…
Thank you
Asante
Thank you very much
Asante sana
Please
tafadhali
Sorry! (apologizing)
samahani
Sorry! (sympathizing)
pole
Excuse me
samahani
You’re welcome
karibu
I don’t understand
sielewi
Help me
nisaidie
I am happy
nina furaha
I am angry
nimekasirika
I am hungry
nahisi njaa
What?
nini?
When?
lini?
Where?
wapi?
Where are you going to?
Unakwenda wapi?
Which?
ipi?
There
pale
Here
hapa
This
hii
Very
sana
What is your name?
Unaitwa nani?
My name is…
Jina langu ni…
Can you help me?
Unaweza kunisaidia
Where are you from?
Unatokea wapi?
I’m from…
Natokea…
May I take a picture?
Naweza kupiga picha?
Do you speak English?
Je, unazungumza Kiingereza?
Do you speak Swahili?
Je, unazungumza Kiswahili?
Just a little bit
kidogo tu
How do you say…..in Swahili?
Unasemaje…..kwa Kiswahili?