Bbc: L3: Useful Phrases For Learning Swahili Flashcards
kidogo
a bit
Ex: Kidogo kidogo hujaza kibaba.
Little by little fills the jar.
Polepole
slower
Ex: Polepole ndio mwendo.
Slow pace is the right pace.
kunradhi
Excuse me, / I’m sorry
Ex: Kunradhi nimechelewa.
I’m sorry, I’m late.
kupata
to get (got)
Ex: Kupata matibabu, itakubidi uende hospitalini.
To get treatment, you’d better go to the hospital.
unasemaje
how do you say
Ex: Unasemaje “food” kwa kiswahili?
How do you say food in Swahili?
moja
one, 1
Ex: Nipe tiketi moja basi.
Then give me one ticket.
kwa kiswahili
in Swahili
Ex: Tafadhali nipe jina la “street” kwa kiswahili?
Please, could you give me the name of a street in Swahili.
hizo
that
Ex: Alipata pesa hizo kazini.
He got that money from work.
la, usifanye
not, don’t
Ex: La, usifanye kelele hapa.
No, don’t make noise here.
Nami
me
Ex: Dadangu nami tunaenda nga’mbo.
My sister and I are going overseas.
naweza
can
Ex: Naweza kusema maneno haya kwa haraka.
I can say those words in haste.
kusema
say that
Ex: Alisema namimi hadi usiku wa manane.
She talked with me till late in the night.
mara moja tena
one more time
Ex: Tamka maneno haya mara moja tena tafadhali.
Say these words one more time.
tafadhali
please
Ex: Tafadhali nisamehe, najua nimekosa. Please forgive me, I know I am wrong. Ex: Waweza kukisema tena tafadhali? Can you say that again, please? Ex: Hii saa tafadhali. This one please.