Basics Flashcards
Hello
How are you?
Salama / Jambo
Hu-Jambo
Please
Thank you
You’re welcome
Tafadhali
Asante
Karibu
Who
Nani
What
Nini
What sort/which?
Gani
Where?
Where are you from?
I am from…
Wapi
Una toka wapi?
Nina toka…
How much?
Ngapi
I’m sorry for you
Pole (sana)
Good morning / afternoon / evening
Habari za asubuhi / mchana / jioni
Good day
Habari za leo
How’s work / studies?
Habari za kazi / masomo?
See you later / tomorrow
Tutaonana baadae / kesho
Have a nice day
Siku njema
You too
Na wewe pia
Child/s
Mtoto / watoto
teacher/s
Mwalimu / walimu
Ill persons
Mgonjwa / wagonjwa
Woman(s)
Mwanamke / Wanawake
Man(s)
Mwanaume / Wanaume
I have
you have
he/she has
we have
you (pl) have
they have
nina
una
ana
tuna
mna
wana
I am
You are
He/she is
We are
You are
They are
It is
Mimi ni
Wewe ni
Yeye ni
Sisi ni
Ninyi ni
wao ni
Ni
I havn’t
You haven’t
He/she hasn’t
We haven’t
You (pl) havn’t
They havn’t
Sina
Huna
Hana
Hatuna
Hamna
Hawana