Anthem Flashcards
1
Q
Verse 1
A
Tunayo benki inayotufaa
Sisi wateja na wafanyikazi
Tuko pamoja lengo letu moja
Kuyaboresha maisha ya watu
2
Q
Verse 2
A
Kujitolea kwa huduma bora
Kuendelea kwa uaminifu
Kuhudumia wote kwa furaha
Equity Benki inayotujali
3
Q
Verse 3
A
Huduma bora, kwa jamii yetu
Unaeneza barani mwetu
Washikadau wanafurahia
Maendeleo unayoyaleta
4
Q
Verse 4
A
Tunainuka kwa uwezo wake
Muumba wetu tunamshukuru
Kwa ufanisi anatujalia
Barani mwetu twasonga mbele
5
Q
Chorus
A
Benki yangu, benki yako
Benki yetu ni Equity
Ni benki ya watu wote
Ni benki inayotujali