Adjectives Flashcards
Hard/Difficult/Solid
-Gumu
Hard/Difficult/Solid (Mtu)
mtu mgumu
Hard/Difficult/Solid (kitabu)
kitabu kigumu
Hard/Difficult/Solid (papai)
papai gumu
Hard/Difficult/Solid (kazi)
kazi ngumu
Hard/Difficult/Solid (lugha)
lugha ngumu
Sick, Ill (people animals)
-gonjwa
One (adjective)
moja
Two (adjective)
wili
One (mtoto) cl 1-2
mtoto mmoja
One (mkate) cl 3-4
mkate mmoja
One (tunda) cl 5-6
tunda moja
One (kitabu) cl 7-8
kitabu kimoja
One (redio) cl9-10
redio moja
One (usiku) cl 11
usiku mmoja
Two (watoto)
watoto wawili
Two (mikate)
mikate miwili
Two (matunda)
matunda mawili
Two (vitabu)
vitabu viwili
Two (redio)
redio mbili
Big
kubwa
Big (mwalimu/walimu) cl 1-2
mwalimu mkubwa/walimu wakubwa
Big (mkate/mikate) cl 3-4
mkate mkubwa/mikate mikubwa
Big (yai/mayai) cl 5-6
yai kubwa/mayai makubwa