11.07.2017 Expressions Flashcards
11.07.2017 Expressions
1
Q
Nakutakia siku yenye mazao mazuri
A
I wish you a fruitful day
2
Q
Na wewe pia
A
And you too
3
Q
Habari zenu
A
How are you doing? (Pl.)
4
Q
Leo tutafanya kazi foundation hii
A
Today we will work on this foundation
5
Q
jukumu (ma-)
A
task(s)
6
Q
Tafadhali nipigie ikitokea chochote
A
Please call me if anything happens
7
Q
Tafadhali uangalie watoto
A
Please look after the kids
8
Q
Samahani, naomba nikupigie picha.
A
Sorry, can i please take your picture
9
Q
Kama ni sawa
A
If its okay
10
Q
Kazi yako inaendaje?
A
How is your work going on?
11
Q
Je, umeridhika na kazi yako leo?
A
Are you satisfied with your work today?