1 Peter Flashcards
Mteule
Chosen one
Kuteua
Mungo Baba aliwateua ninyi
To choose
Kufuatana na kusudi lake
According to his purpose
Tele
Full measure
Abundant
Kutawanyika
To scatter, disband
Kujali
Ametujalia tumaini lenye uzima
To care
This fills us with a living hope
Kukuwekea
To keep for you
Kufifia
Baraka hizi haziwezi kuoza, an kuharibika au kufifia
To fade
Kufunua
Kufunuliwa mwishoni mwa nyakati
To unfold, reveal
Wakovu
Salvation
Ijapokuwa sasa
Even though now
Kuhuzunika
To be sad
Majaribio
Trials
Kutoseka
Majaribio mbalimbali mnayoteseka
To suffer
Kuthibitisha
Shabaha yake ni kuthibitisha Imani yenu
To authenticate, prove genuine
Dhahabu
Gold
Kujaribiwa kwa moto
Tested by fire
Thabiti
Hali kadhalika na Imani yenu, ambayo ni ya thamani zaidi kuliko dhahabu, ni lazima ijaribiwe ipate kuwa thabati.
Enduring
Utukufu
Glory
Kuamini
Ninamwamini
To believe
Itawabidi
It will be necessary for you