1 Flashcards
1
Adhuhuri ni saa gani?
Wakati wa saa sita mchana hadi na saa tisa
____ la watoto
Mkururo
____ la waandishi
Jopo
Sauti unaotamka sana / kusisitiza huitwa
ghuna
Fasihi ni nini
Ni kazi ya sanaa inayotumia lugha kiubunifu kuwasilisha maswala kuhusu binadamu na maisha yake
Tanzu za fasihi simulizi
Hadithi, Semi Maigizo.
Tazu za fasihi andishi
Nove.a, Riwaya, Tamthilia hadithi fupi
Novela ni nini?
Mtungo wa kinathari katika fasihi andishi.
Bembelezi ni nini na sifa zake nne.
Ni nyimbo tulivu zinazoimbiwa watoto wachanga ilii watulie ama walale
- Huwa fupi
- Huimbiwa watoto wachanga
- Huimbwa na wazazi au wazlezi
- Huibua hisia za watoto
Mtindo ya uwasilishaji wa bembelezi
huhusisha urudiaji wa maneno
husirikisha kucheza na viungo vya mwili
|| ishara na uso
Huimbwa kwa sdautio nyororo
uliopita __ uliopo ___ ujao ____ timilifu ____ mazoea ___
li, na, ta, me, hu
Dhamira ni nini?
Lengo la mwandishi kwa kazi ya fasihi kama kuonya. kuchekesha kushauri na kusuta
Maudhui ni nini
Masuala kuu unao zungumziwa katika kazi ya sanaa
Uchambuzi ni nini?
Ni hali ya kuifanya kazi ya fasihi ieleweke kwa urahisi
Kuichambua novela ni hali ya ?
Hali ya kufafanua novwla kwa kuzingatia upengele
Mandhari ni nini?
Mahaili na wakati matukio yanatokea
Mifano ya upengele ni
Maudhui. Ploti, Wahusika, Mbinu za lugha
Mbinu rejeshi ni nini?
Ni mbinu ya kuyaeleza matukio ya awali kabla yanayoelelzwa
Mbinu za lugha ni nini?
Ni kutumia lugha kwa njia ya ufundi ili kufanya novela iwe na mavutio
Mifano ya mbinu za lugha ni?
Tashbihi, sitiari, Tashhisi, Tasfida, Chuku
tamthnia ni nini?
Shairi lenye mishororo mmoja katika kila ubeti.
__ LA MAUA
KOJA
___ LA VIATU
JOZI
__LA NDIZI
CHANE
KIKOSI CHA
ASKARI
sifa za fasihi simulizi
1.) ni kongwe kwa kuwa ilikuwepo kabla ya maandishi.
2.) ni mali ya jamii wala si mtu binafsi.
3.) hutegemea hadhira hai.
sifa za fasihi andishi
1.) hadhira yao ni wasomaji.
2) kurekebisha fasihi andishi huchukua muda mrefu.
3.) huchukua muda mrefu kuandikwa.
4.) huwasilishwa na maandishi.
RUMANDE NINI?
chumba maalumu katika gereza ambamo huwekwa mahabusu wanaongoja kupelekwa mahakamani au kumalizika kwa kesi zao
KITENZI KISAIDIZIZI NINI?